Timu ya Barcelona imeanza kuwamezea mate Marcos Alonso, Cesar Aczipilicueta na Nemanja Matic kutoka Chelsea.
Barcelona imeadhimia kuimarisha ukuta wake msimu ujao na sasa wanajipanga kula sahani moja na vijana hao ambao wanamwinua Antonio Conte katika ligi ya EPL.
Nyota hao wamejitengenezea nafasi ya uhakika tangu kocha Antonio Conte alipotua Stamford Bridge katika dirisha la dirisha kubwa la usajili.

Comments
Post a Comment