Timu ya Chelsea ipo kwenye mipango ya kuachana na mshambuliaji wa timu Diego Costa ambaye atapigwa bei kwenye dirisha la usajili.
Kocha wa Chelsea Antonio Conte anataka kuwanunua Romelu Lukaku wa Everton na Alvaro Morata wa Real Madrid ikiwa ni sehemu ya kukamilisha mpango huo.
Hadi kufikia jana Romelu Lukaku aligoma kusaini dili jipya na Everton ikiwa ni dalili ya kurejea Chelsea kwa mara nyingine.

Comments
Post a Comment