Mshambuliaji wa Yanga Donald Ngoma amerejea tena kwenye matibabu muda mfupi baada kuonekana uwanjani.
Licha ya kufanikisha bao la Msuva katika mechi dhidi ya Zanaco lakini bado Ngoma alishindwa kuonesha kasi take kutokana na majeraha.
Raia huyo wa Zimbabwe huenda asijumuishwe katika mchezo wa marudiano dhidi ya Zanaco utakaopigwa Lusaka, Zambia wikiendi hii.

Comments
Post a Comment