Kocha wa Manchester city Pep Gurdiola ndiye kinara wa kinyang'anyiro cha tuzo ya kocha bora kwa mwezi February.
Gurdiola amewapiga chini Kocha wa Chelsea Antonio Conte, Jose Mourinho wa Manchester united na Tony Pulis wa West Brom.
Gurdiola ameibuka na tuzo hiyo baada ya kufanya katika michezo mitatu ndani ya mwezi huo ikiwemo ushindi wa bao 4-0 dhidi ya West Ham, 2-1 dhidi ya Swansea na 2-0 dhidi Bournemouth ugenini.

Comments
Post a Comment