Hii ndio nusu fainali ya kombe la FA.


Baada ya kumalizika kwa raundi ya 8 ya kombe la FA, hatimaye chama cha soka England kimepanga ratiba ya nusu fainali kama ifuatavyo

Chelsea vs Tottenham

Arsenal vs Manchester city.

Comments