Ni kama ndoto lakini imekuwa kweli kwenye dimba la Camp Nou baada ya Barcelona kuifunga PSG bao 6-1 na kuiondoa mashindanoni.
Licha ya kipigo cha mabao 4-0 nchini Ufaransa Barcelona imedhihirisha kuwa bora duniani baada ya kuichomoa PSG bao 6-5 baada ya mchezo wa nyumbani na ugenini.
Barcelona kupitia Luis Suarez, Andres Iniesta, Lionel Messi, Neymar aliyefunga Mara mbili na Sergi Roberto aliyeibuka shujaa kwenye mchezo huo iliweza kumaliza dakika 90 na goli 6.


Comments
Post a Comment