Timu ya Barcelona inajindaa kumpa mkataba mpya nyota wao Lionel Messi wenye thamani ya £35 milioni kwa mwaka.
Awali Messi aligoma kusaini mkataba mpya hadi atakapofanya mazungumzo na raisi wa timu hiyo ili kutathimini uelekeo wa kikosi.
Mkataba huo utamfanya Messi kuwa mchezaji ghali zaidi barani Ulaya juu ya Christiano Ronaldo na Gareth Bale.

Comments
Post a Comment