Mshambuliaji wa Taifa Stars Mbwana Samatta ameifungia Genk katika ushindi wa bao 4-0 iliopata dhidi ya Westerlo.
Hii mara ya tatu mfululizo Samatta anaifungia Genk tangu kuanza kwa mwezi Machi mwaka huu.
Samatta anazidi kuing'arisha tuzo yake ya mchezaji bora Afrika kwa wachezaji waliokipiga ndani ya bara la hili wakati ule alipoitwaa akiwa na TP Mazembe.

Comments
Post a Comment