Huyu ndiye mchezaji bora VPL mwezi February.


Mshambuliaji wa Mwadui FC  Hassan Kabunda ndiye mchezaji bora wa ligi kuu Tanzania bara ndani ya mwezi February.

Kabunda ameshinda kinyang'anyiro baada ya kuwapiga chini Nyota wa Simba Laudit Mavugo na Ibrahim Ajib.

Kabunda aliiwezesha mwadui FC kukusanya jumla 6 ndani ya mwezi na kufunga jumla ya magoli 4 kwenye mechi 6.

Comments