Keown aponda Sanchez kuanzia Benchi Anfield.



Mkongwe na beki wa zamani wa Arsenal Martin Keown amekiri wazi kuwa kocha Arsene Wenger alibugi kumtumia Sanchez kama mchezaji wa akiba dhidi ya Liverpool.

Keown alisema hakuona sababu ni kwanini nyota huyo ambaye anaibeba Arsenal kwa sasa alitokea benchi.

"Haikuwa na sababu kwa mchezaji kama Sanchez kuanzia benchi na Giroud kuchukua nafasi yake.

" Nadhani hii ni Arsenal yenye matatizo zaidi ikilinganishwa na ile ya awali." Alisema mkongwe huyo.

Comments