Lallana kuikosa Everton


Kiungo mshambuliaji wa Liverpool Adam Lallana atakosa mchezo wa upinzani dhidi ya Everton jumamosi ya wiki hii.

Lallana atakaa nje kwa muda wa wiki nne baada ya kuumia goti katika mechi ambao England ilishinda bao 2-0 dhidi Lithuania.

Comments