Baada ya uvumi wa kuhusishwa kujiunga na klabu ya Yanga hatimaye Nyota wa Simba Ibrahim Ajib na Jonas Mkude wameongeza miaka 2 kwenye timu hiyo.
Mwenyekiti wa kamati ya usajili Simba Zacharia Hanspoppe amethitisha kukamilika kwa mikataba mipya ya wachezaji hao ambao wamekuwa muhimili mkubwa katika timu ya Simba.

Comments
Post a Comment