Msuva aiponza Yanga mbio za ubingwa, yatoka sare na Mtibwa


Mabingwa wa ligi kuu Tanzania Bara Yanga SC wamegawana pointi na Mtibwa Sugar baada ya kutoka sare isiyokuwa na magoli katika uwanja wa Jamuhuri.

Mshambuliaji wa Yanga Simon Msuva alipoteza nafasi pekee ambayo Yanga ilipata baada ya kupaisha penati.

Bado Simba ipo mbele kwa pointi 2 ikifuatiwa na Yanga katika msimamo wa ligi kuu.

Comments