Mbali ya kuwa ni moja wa makocha wanaotikisa kwa sasa barani Ulaya Diego Simeone anang'arishwa pia na mwanaye Giovanni Simeone ambaye anatisha kwa kufumania nyavu.
Giovanni anayekipiga katika timu ya Genoa inayoshiriki ligi kuu ya Italy (Serie A) ni moja kati ya makinda bora ambao wamefunga zaidi kwenye timu zao msimu huu.
Mpaka sasa Giovanni mwenye miaka 21 ametupia nyavuni goli 10 akiwa ndiye mchezaji aliyefunga zaidi kwenye timu ya Genoa.
Wengine waliongia kwenye orodha hiyo ni
1. Serge Gnabry (Arsenal, anakipiga Werder Bremen kwa mkopo) amefunga goli 10
2. Kylan Mbappe (Monaco) goli 12
3. Delle Alli (Tottenham) goli 12
4. Tim Werner (RB Liepzing)

Comments
Post a Comment