Orodha ya wachezaji wafuatao ndiyo waliowekwa kwenye kinyanganyiro cha tuzo ya mchezaji bora wa mwezi February katika ligi ya EPL hii ni baada ya uchaguzi makini uliofanya na wachambuzi wa wataalamu wa masuala ya soka ya kituo cha Sky Sports.
1. Gabriel Jesus (Man city, strika)
2. Harry Kane (Tottenham, strika)
3. Gareth McAuley (West Brom, beki)
4. Romelu Lukaku (Everton, strika)
5. Henrikh Mkhitaryan (Man utd, strika)
6. Manolo Gabbiadini(Soton, strika).

Comments
Post a Comment