Neymar afanya mazungumzo na Man utd


Kocha wa Manchester United Jose Mourinho yupo kwenye mazungumzo na Mshambuliaji wa Barcelona Neymar ili kumshawishi nyota huyo atue Old Trafford.

Mourinho anataka kufanya usajili wa kutisha ili kuirudisha Man utd kwenye hadhi yake kama ilivyokuwa chini ya kocha Sir Alex Ferguson.

Comments