Nyota wa timu ya Yanga Donald Ngoma na Thaban Kamusoko wamerejea mazoezini baada ya kupona majeraha yao.
Wachezaji hao ambao wote ni raia wa Zimbabwe watashuka dimbani katika mchezo wa kimataifa dhidi ya Zanaco ya Zambia February 11 mwaka huu.
Habari kutoka Yanga zimeeleza kuwa Golikipa namba 3 wa timu hiyo Kakolanya na beki Pato Ngonyani ndiyo watakaokosekana kwenye kikosi cha Yanga kitachovaana na Zanaco kutokana na Majeraha.

Comments
Post a Comment