Kocha wa Mpya wa Singida United Hans Pluijm aliacha orodha ya wachezaji anaowahitaji wakiwemo baadhi ya nyota aliowahi kuwanoa akiwa na Yanga SC.
Pluijm alipendekeza majina ya nyota watatu kutoka Yanga akiwemo Donald Ngoma, Thaban Kamusoko na Simon Msuva.
Kocha Huyo amekwenda mapumzikoni nyumbani kwake nchini Ghana ambapo atarejea tena kwa ajili ya kukamilisha usajili wa kuongeza nguvu kwenye timu hiyo.

Comments
Post a Comment