Hivi ndivyo Pluijm alivyosaini Singida utd.


Aliyewahi kuwa kocha wa Yanga Hans Pluijm sasa ni mali ya Singida United baada ya kusaini miaka 2.


Singida Utd imejipanga kufanya vizuri kwenye ligi kuu Tanzania Bara baada ya kumsajili kinda wa Zimbabwe Tafadwaza Kitinyu ambaye ni kiungo.


Comments