Ronaldo ndiye mchezaji bora wa mwaka wa Ureno


Nyota wa Real Madrid Christiano Ronaldo ametangazwa kuwa mchezaji bora wa mwaka 2016 nchini ureno.

Ronaldo alimshinda nyota mwenzake wa Real Madrid na timu ya Taifa Kipre Lima Pepe ambao kwa pamoja walikuwepo kwenye kinyang'anyiro hicho.

Nahodha huyo wa Ureno aliliongoza taifa hilo kutwaa ubingwa wa UEFA Euro katika nchi ya Ufaransa.

Comments