Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Samatta ameifungia KRC Genk bao la kwanza katika ushindi wa bao 2-1 dhidi ya Club Brugge.
Samatta alifungua ukurasa wa mabao na kutupia nyavuni bao la kuongoza katika dakika ya 5 ya mechi huyo.
Hadi dakika 90 zinamilizika KRC Genk ikiwa nyumbani iliweza kuzoa pointi tatu kutokana na bao la utangulizi la Mbwana Samatta.

Comments
Post a Comment