Samatta atupia 2 Genk ikua 5-2 Europa ligi


Mbwana Samatta ameendelea kufanya katika soka la Ulaya baada ya kutupia nyavuni bao 2 katika ushindi wa mabao 5-2 ambao Genk ilipata dhidi ya Gent.

Mahasimu hao wa Ubelgiji wamekutana kwenye hatua hiyo ya 16 bora na Genk imeweza kufanya vizuri ugenini.

Hii ni hatua nzuri kwa Mbwana Samatta ambaye ameanza kuitangaza vizuri Tanzania katika soka la kimataifa.

Comments