Sanchez aipa Arsenal mkono wa kwaheri.


Inaweza isiwe maigizo baada ya Sanchez kuwapungia mkono wa kwaheri mashabiki  wa Arsenal alipokuwa akifanyiwa mabadilisho dhidi ya Mesut Ozil.

Wiki mbili zilizopoita Sanchez alikaririwa kudai kuondoka England na kurejea Spain kwa mara nyingine.

Sanchez anahusishwa na mpango wa kuhamia Sevilla, na huenda akatua kwa wababe hao wa kombe la Europa ligi.

Comments