Mshambuliaji wa Arsenal Alexis Sanchez ataachana na Arsenal mwisho mwisho wa msimu huu.
Sanchez anataka kurejea Spain kwa mara nyingine na tayari klabu ya Sevilla na Atletico Madrid zimeonesha nia ya kumnasa raia huyo wa Chile.
Tetesi huenda Sanchez akajiunga na Sevilla baada ya kuachana na Arsenal ambayo ameitumikia kwa misimu 3 sasa.
Hadi sasa Sanchez ameifungia Arsenal Mabao 17 katika mechi za ligi kuu alizoichezea timu hiyo msimu huu.

Comments
Post a Comment