Singano ainyanyua Azam Chamanzi


Mshambuliaji wa Azam Ramadhan Singano 'Messi' ameinyanyua Azam baada ya kufunga bao la ushindi dhidi Swallows.

Azam ambayo iliikaribisha Swallows katika uwanja wa Chamanzi imetoka kifua mbele na ushindi wa bao 1-0 bao pekee lillilowekwa nyavuni na Singano Messi katika dakika ya 84 ya mechi hiyo.

Ushindi unaifanya Azam kuendelea na rekodi nzuri kwenye za kimataifa katika uwanja wa Chamanzi Complex.

Comments