Viingilio Azam v Swallows bei hizi hapa.


Zikiwa zimesalia siku nne kabla ya Pambano la Azam na Swallows viingilio na malipo ya kuiona mechi hiyo live vyatajwa.

Bei kwa viti vya mzungo ni shilingi 3000, wakati VIP B italipiwa kwa gharama ya shilingi 5000 na VIP A italipiwa kwa gharama ya shilingi 10000 kupitia huduma za selcom.

Mchezo itacheza mchezo huo wa kimataifa majira za saa 1.15 ya usiku katika dimba la Azam Complex Chamanzi.

Comments