Wasikie Azam: mashabiki waje kwa Wingi uwanjani.


Timu ya Azam imewataka mashabiki wake kufika kwa wingi uwanjani kwani kuna mambo mazuri.

Katika kuthibisha kauli yao, Azam ilisema kuna ushindi wa uhakika dhidi ya Swallows na kuwataka mashabiki wao kuondoa hofu.

Azam imejipanga vizuri kuivaa Mbabana Swollows katika uwanja wa Chamanzi Complex jumapili utakaochezwa majira ya ya saa 1.15 ya jioni.

Comments