West Ham yamtaka Rooney.


Timu ya West Ham imeonesha nia ya kumsajili Mshambuliaji Wayne Rooney endapo Manchester United itakubali kumwachia mwisho wa msimu.

Wayne Rooney mwenye miaka 31, atamaliza mkataba wake na Man utd ifikiapo juni 2019.

Mbali na West Ham baadhi ya Klabu za ligi ya China ikiwemo Guangzhou Evergrande, Beijing Guoan na Jiangsu Suning zimeoonesha nia ya dhati ya kumsajili raia huyo wa England.

Comments