Wilshere aitaka Milan.


Kiungo wa Arsenal Jack Wilshere ameonesha nia kutua AC Milan endapo timu hiyo haitaonesha nia ya kumuhitaji kama hapo awali.

Wilshere alitolewa kwa mkopo katika timu ya Bournemouth ambayo inashiriki ligi kuu ya England katika dirisha dogo la usajili la mwezi January mwaka huu.

AC Milan inamtolea macho nyota huyo wa Arsenal ambaye alipotea kwenye kiwango chake kutokana na majeraha yaliyokuwa yakimsibu mara kwa mara.

Comments