Kiungo wa Manchester Yaya Toure anawaniwa na timu zinazotumia uwanja mmoja katika ligi ya Serie A nchini Italy, AC pamoja na Intermilan.
Kwa pamoja timu hizo zimeonesha nia ya kumsajili kiungo huyo ambaye hana maisha marefu katika klabu ya Man city.
Hatma ya Toure bado ipo mashakani tangu kutua kwa Pep Gurdiola huenda akapokea ofa hizo na kutimka England.

Comments
Post a Comment