Klabu ya Yanga imeshindwa kupata matokeo ya ushindi nyumbani baada ya kutoka sare ya bao 1-1 na Zanaco.
Yanga ilianza kupata bao safi kupitia Simon Msuva aliyefunga kipindi cha kwanza baada ya kupokea pasi kutoka kwa Donald Ngoma.
Hata hivyo walirudi vizuri kipindi cha ambapo waliweza kusawazisha bao hilo na kuyafanya matokeo kuwa 1-1.

Comments
Post a Comment