Arsenal yamtolea macho Turan


Timu ya Arsenal inataka kumfanya mpango wa kumsajili kiungo wa Barcelona Arda Turan.

Raia huyo wa Uturuki amekosa namba ya kudumu katika kikosi cha Barcelona chini ya kocha wa sasa Luis Henrik na huenda akatimka Camp Nou katika dirisha la usajili.

Licha ya Turan kukosa namba ya kudumu Barcelona bado Turan anaonekana kuwa bora na kuzivutia baadhi ya timu ikiwemo Arsenal.


Comments