Timu ya Barcelona imeshindwa kutumia mwanya wa kuifukuza mpinzani wake Real Madrid ambayo ilitoka sare dhidi ya Atletico de Madrid baada ya kupokea kichapo cha bao 2-0 kutoka kwa Malaga.
Katika mchezo huo mshambuliaji wa Barcelona Neymar alitolewa nje kwa kadi nyekundu baada ya kukamilisha idadi ya kadi mbili za njano katika kipindi cha pili cha mechi hiyo.

Comments
Post a Comment