CCM Kirumba ruksa kutumika kimataifa.


April 14, 2017

Baada ya Timu ya Yanga kuchomolewa na TFF hapo awali kuhusiana na matumizi ya uwanja wa CCM Kirumba dhidi ya MC Alger hatimaye CAF na FIFA wameupitisha uwanja huo.

Raisi wa Shirikisho la Soka Tanzania Jamal malinzi ametangaza habari hiyo kupitia ukurasa wake Twitter kuwa sasa uwanja unaweza kutumika kwenye mechi za kimataifa.

Comments