Kocha wa Manchester city Pep Gurdiola anavutiwa na usajili wa wachezaji watatu kutoka Tottenham Hotspurs.
Katika orodha hiyo yumo Dele Alli ambaye ni kiungo mshambuliaji wa timu ya hiyo, Kyle Walker na Danny Rose ambao wote ni walinzi wa pembeni.
Gurdiola haridhishwi na kiwango cha Bakary Sagna pamoja na Alexander Kolarov ambapo ameadhimia kufanya kwenye maeneo hayo.
Kwa upande wa Dele Alli huenda Gurdiola akapata upinzani mkubwa kutoka katika timu zingine duniani ikiwemo PSG, Barcelona, Bayern Munich na Real Madrid.

Comments
Post a Comment