April 23, 2017
Kamati ya nidhamu ya TFF imemfungia Haji Manara kuisemea Simba SC kwa miezi 12 kutokana na utovu wa nidhamu.
Makamu mwenyekiti wa kamati ya nidhamu TFF Jerome Msemwa amesema kuwa Manara amekumbana na adhabu hiyo kutokana na utovu mkubwa wa nidhamu aliounesha.
Mbali na kifungo hicho Haji Manara atalazimika kulipa faini ya shilingi milioni 9 ikiwa ni sehemu ya adhabu ya hiyo.

Comments
Post a Comment