April 24, 2017
Kiungo wa Chelsea N'golo Kante ndiye mchezaji bora wa mwaka England baada ya kupata kura kwenye kinyang'anyiro hicho.
Kante amewapiga chini mastaa mbali mbali katika ligi hiyo akiwemo Eden Hazard (Chelsea), Zalatan Ibrahimovic (Man Utd), Harry Kane (Tottenham), Romelu Lukaki (Everton) na Alexis Sanchez(Arsenal).
Pia kwa upande wa Vijana kiungo mshambuliaji wa Tottenham Delle Ali ndiye aliyeweza kutwaa tuzo hiyo.

Comments
Post a Comment