Timu ya Manchester city jmeshindwa kupata matokeo ya ushindi katika uwanja wa Etihad baada ya kulazimishwa sare isiyokuwa na magoli na Manchester United.
Licha ya Man city kuonekana kuwa imara kipindi cha pili na kushambulia kwa kasi, Man Utd walionekana kuimarika vema kwenye safu ya ulinzi.
Matokeo hayo bado yanajenga matumaini kwa Liverpool ambayo ina kiu ya kuingia nne bora ndani ya msimamo wa ligi ya England.

Comments
Post a Comment