Timu ya Manchester utd imelipa kipigo ilichokipata kwa Chelsea katika mechi ya kwanza baada ya kuichapa timu hiyo mabao 2-0.
Mabao ya Man utd yaliwekwa nyavuni na Marcus Rashford pamoja na Ander Herrera aliyefunga bao la pili yalitosha kukamilisha ushindi huo katika uwanja wa Old Trafford.
Comments
Post a Comment