Antonio Conte na Mauricio Pochettino ni moja ya makocha wanaofanya vizuri kwa sasa ligi kuu England.
Chelsea chini ya Antonio Conte ndiyo inayoongoza kwenye msimamo wa ligi kuu England kwa tofauti ya pointi 7 dhidi ya Tottenham inayonolewa na Mauricio Pochettino.
Wachambuzi tofauti katika Skysports wamependekeza ni nani ambaye anastahili kuwa Kocha bora wasimu kati ya hawa
Graeme Souness- Antonio Conte
Thiery Henry- Antonio Conte
Jamie Carragher- Antonio Conte
Niall Quinn- Antonio Conte
Gary Neville- Mauricio Pochettino
Alan Smith- Antonio Conte
Dalili zinaonesha kuwa Antonio Conte wa Chelsea ana nafasi kubwa ya kushinda kwenye kinyang'anyiro hicho.

Comments
Post a Comment