Ni madrid Derby nusu fainali UCL


Timu ya Real Madrid itakutana na Atletico Madrid katika mchezo wa nusu fainali wa ligi ya mabingwa barani Ulaya.

Mabingwa hao mara 10 wamewahi kuishinda mara 2 dhidi ya Atletico walipokutana kwenye fainali za UCL.

Kwa upande mwingine Juventus ya Italy itachuana na Monaco ya Ufaransa kuelekea kwenye nusu hiyo.

Pia katika Europa ligi Man Utd itachuana na Celta Vigo ya Hispania na Ajax dhidi ya Olympic Lyon.

Comments