Okwi njia nyeupe Simba SC.


Mshambuaji wa Kimataifa wa Uganda Emanuel Anold Okwi atareajea msimbazi msimu ujao kutokana kwa mujibu wa viongozi wa Simba.

Raia huyo wa Uganda anafanya vizuri kwa sasa katika ligi ya Katika ligi ya Uganda na Sports Villa.

Ujio wa Okwi kwenye timu hiyo unahusishwa na kuondoka kwa beki wa Simba ambaye pia ni raia wa Uganda Juuko Murshed ambaye amepata dili Vietnam.

Murshed anamaliza mkataba wake mwishoni mwa msimu na kutimka Vietnam ambapo ataacha nafasi moja wazi wa usajili wa raia wa kigeni katika klabu ya Simba.

Comments