Real Madrid yashindwa kutamba Santiago Bernabeu


Timu ya Real Madrid imeshindwa kuondoka na pointi 3 katika mtanage wa La liga dhidi ya Atletico Madrid baada ya kutoka sare ya bao 1-1 na Atletico Madrid.

Real Madrid ilianza kupata bao kupitia Beki wake Pepe aliyefunga kwa kichwa na lile la Atletico Madrid liliwekwa nyavuni na Griezmann.

Comments