Mabingwa watetezi wa kombe UCL Real Madrid wametinga nusu fainali baada ya kuindoa rasmi Bayern Munich hapo jana.
Katika mechi hiyo Real Madrid ilishinda bao 4-2, ikiwemo hat trick ya Christiano Ronaldo ambaye ameendelea kuandika historia yake kwenye soka.
Mbali na matokeo pia ya Atletico Madrid imeweza kutinga nusu fainali baada ya kuwaondoa mabingwa wa England Leicester ambao walikubali sare ya bao 1-1 katika uwanja wa nyumbani.

Comments
Post a Comment