Sahin ajifunga Dortmund.


Kiungo wa Uturuki Nuri Sahin amesaini mkataba mpya Utakaomuweka Dortmund hadi 2019.

Sahin aliandika kwenye tovuti ya Borrusia Dortmund kuwa ana furaha kusaini mkataba mpya katika timu anayoipenda.

"Nina furaha sana kusaini mkataba mpya, watu wengi wanafahamu Dortmund ni kama nyumbani kwangu, ni timu iliyo moyoni mwangu". Alisema Sahin

Sahin 28, aliwahi kuitumikia Real Madrid mwaka 2011 kisha Liverpool kwa mkopo 2012/13 na baadae alirejea tena Dortmund.

Comments