Hatimaye Chelsea itakutana na Arsenal Mei 27 mwaka huu katika mchezo wa fainali wa wa kombe la FA baada ya kuichomoa Manchester city kwa ushindi wa bao 2-1.
Manchester city ilipata bao la kuongoza kupitia Sergio Aguero lakini Arsenal ilichomoa bao kupitia mlinzi wake Nacho Monreal.
Hadi dakika 90 zinamalizika matokeo yalikuwa sare ya bao 1-1 kwa moja ambapo katika dakika za nyongeza Sanchez aliipatia Arsenal bao la ushindi.

Comments
Post a Comment