Shirikisho la soka Tanzania (TFF) imewapokonya Simba pointi 3 na kuzirejesha kwa Kagera na hakuna rufaa.
Shirikisho hilo kupitia katibu wake Celestine Mwesigwa limetangaza kuwa kamati ya saa 72 ilifanya mambo kinyume na utaratibu na hakuna rufaa.
Kamati ya katiba, sheria na hadhi ya wachezaji imejiridhisha kuwa beki wa kagera Sugar Mohamed Fakhi alistahili kucheza kwenye mechi ambayo Kagera ilipata ushindi wa bao 2-1.

Comments
Post a Comment