Simba vs Azam, Mbao vs Yanga nusu fainali kombe la FA.

April 23, 2017

Droo ya kombe ya kombe la FA imekwishapangwa ambapo Simba itakutana na Azam na Yanga SC itaifuata Mbao FC Mwanza.

Simba itacheza nusu fainali ya kwanza na Azam FC April 29 mwaka na Yanga itacheza nusu ya Pili dhidi ya Mbao FC katika uwanja wa CCM Kirumba mkoani Mwanza.

Comments