Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) limefungua mashitaka kwa msemaji wa Simba SC Haji Manara kwa madai ya kulivunjia heshima shirikisho hilo.
Siku za hivi karibu msemaji huyo wa Simba aliwananga viongozi wa Shirikisho hilo kutokana kutokana na kuipinga kamati ya saa 72.
TFF imetoa onyo kwa wanafamilia wa mpira wakiwemo makocha, viongozi, wachezaji na wahusika wengine kuheshimu taratibu za Shirikisho hilo.
Pia Shirikisho hilo limewaasa familia ya mpira wa miguu kiujengea taswira nzuri Shirikisho miongoni mwa watu wa Tanzania.

Comments
Post a Comment