Uongozi wa Singida United upo mbioni kutangaza usajili wa mshambuliaji Ibrahim Ajib kutoka Simba muda mfupi baada ya kukamilisha taratibu zote.
Taarifa za ndani kutoka Singida United zimeweka wazi kuwa tayari makubaliano baina ya pande zote mbili yamekamilika.
Zipo taarifa kuwa uongozi wa timu upo kwenye mipango ya kumalizana na golikipa namba mbili wa Simba Manyika Peter Junior muda mfupi watakapokamilisha usajili wa Ibrahim Ajib.

Comments
Post a Comment